MAMBO niko Tazania mkoa wa Tanga, nashukuru kwa michango yenu KIPALA,MTT CRYPTO NA NIGANILE ALIYE NISHAURI KUCHANGIA MADA KATIKA WIKIPEDIA BADO KAZI NI KUBWA,

Habari za Tanga? Nimefurahi kukuona tena. Je utakuwa na nafasi ya kuchangia? Kama una chochote kutoka sehemu yako ya TZ- karibu! Menginevyo: Niko sasa kwenye nchi ya Asia, naelekea kwisha. lakii kama unapata nafasi ya kutafsiri makala za miji mikuu (au maraisi, mawaziri wakuu n.k.) - karibu! Mimi natumia mara nyingi -kama sina muda mwingi- makala za simple.wikipedia.org na kuzitafsiri, hasa pamoja na viungo vya interwiki (wikipedia kwa lugha mbalimbali). Ukiwa na nafasi karibu kusaidia!
Ukifungua http://simple.wikipedia.org/wiki/Category:Capital_cities_in_Asia
na kulinganisha na
http://sw.wikipedia.org/wiki/Category:Miji_Mikuu_Asia utaona miji ipi imekosekana.
Ushauri: kuna njia mbili: fungua makala, bonyeza "edit", nakili yote, halafu
fungua ukurasa kama http://sw.wikipedia.org/wiki/Doha na badilisha jina la mji kwa makala mapya utakaloanzisha (kwa mfano: futa Doha katika anwani hii, andika badala yake andika Islamabad na gonga "enter"
halafu ingiza yote uliyonakili kutoka simple.wikipedia.com humona badilisha lugha.

Njia nyingine ni kuangalia makala za nchi za Asia na kutazama: wapi mki mkuu bado nyekundu. bonyeza, na fungua makala ya simple..

Karibu tu! --Kipala 14:21, 11 Februari 2007 (UTC)Reply