majadiliano kuhusu utafsiri wa istilahi hariri

Bwana Schekinov, salaam! Nimeanzisha majadiliano mapya kuhusu utafsiri wa istilahi ya wikipedia yetu hapa. Naomba uyaangalie na kuchangia maoni yako. Asante! --Baba Tabita (majadiliano) 10:03, 23 Oktoba 2009 (UTC)Reply