Karibu wikipedia ya Kiswahili - Welcome to the Swahili wikipedia. Wakati huohuo nakupa pole kwa kurejesha sahihisho lako la mwaka wa 1134 - At the same time, sorry for rolling back your change to the year 1134. Machoni mwangu haileti maana kuweka kila mwaka katika jamii ya mbegu - In my opinion, it doesn't make sense to categorise all the years as stubs. Karibu kuongeza habari za makala yoyote - Welcome to add content to any article. Wasalaam - Greetings! --Baba Tabita (majadiliano) 07:49, 12 Oktoba 2009 (UTC)Reply