kwa mtazamo wangu mimi naona sawa tu kam juma kuanzisha kundi lake na kujiteua kiongozi yani cha kwanza namkubali sana chapili yeye ni jembe lilio kamilika na chatatu ana angalia masirai yake bwana mkubwa big hap sana kwa kujiengua