Majiranukta
(Elekezwa kutoka Majira nukta)
Majiranukta (pia: mfumo majiranukta) ni mbinu ya hisabati unaoeleza nafasi ya kila nukta katika seti ya namba.
Majiranukta ya kawaida hueleza nafasi ya nukta katika ubapa.
Nafasi zote zinapangwa kwa njia ya majira (majiranukta) 2 yanaoitwa
- jira-x jiramlalo
- jira-y au jirawima
Majiranukta hupatikana kwa kueleza mistari miwili sulubi, moja ukipita kwenye jira-y na mwingine kwenye jira-x. Inapokutana ni nafasi ya nukta inayoelezwa.
Majiranukta kama anwani ya kijiografia
haririMfumo wa majiranukta hutumiwa kutaja mahali duniani kwa kutumia longitudo na latitudo.
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Majiranukta kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |