Majira ya kuchipua
Majira ya kuchipua (kwa Kiingereza Spring) ni mojawapo kati ya majira manne ya kanda za wastani, na halijoto yake ni ya wastani.
Yanafuata majira ya baridi (kwa Kiingereza "winter") na kutangulia majira ya joto (kwa Kiingereza "summer").
Majira hayo yanatokea duniani kwa nyakati tofauti kadiri eneo husika lilivyo kaskazini au kusini kwa ikweta. Hata katika nchi ileile, kwa mfano Kenya, majira ni tofauti upande huu na upande huu wa ikweta.
Viungo vya nje
hariri- Word Lore
- Online Etymology Dictionary
- Glossary of Meteorology Archived 15 Machi 2012 at the Wayback Machine.
- Solstice, Equinox & Cross-Quarter Moments for 2011 and other years, for several timezones Archived 7 Julai 2011 at the Wayback Machine.
- Earth's Seasons, Equinoxes, Solstices, Perihelion, and Aphelion, 2000–2020 (from the United States Naval Observatory's Astronomical Applications Department)
- Seasons and Seasonal Cusps as Pagan and Religious Holidays Archived 23 Januari 2013 at the Wayback Machine. (from Archaeoastronomy Archived 16 Machi 2015 at the Wayback Machine.)
- What day does spring start? (BBC, UK News Magazine)
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Majira ya kuchipua kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |