Makaburi ya Wakimbizi wa Kipolandi Katika Afrika

Makaburi ya Wakimbizi wa Kipolandi Katika Afrika ni idadi inayojumuisha makaburi ya wakimbizi wa huko Polandi waliokimbilia Afrika wakati wa Vita kuu ya pili ya dunia.

Nchi Mji Idadi ya Makaburi Chanzo
Zambia Mbala 18 [1]
Zambia Bwana Mkubwa 47 [2]
Zambia Lusaka 70 [3]
Tanzania Ifunda 22 [4]
Tanzania Kidugala 14 [5]
Tanzania Morogoro 6 [6]
Tanzania Tengeru 148 [7]
Uganda Koja 98 [8]
Uganda Nyabyeya 51 [9]
Uganda Nyamegita 5 [10]

Marejeo

hariri