Kaburi
Kaburi ni mahali pa kulaza maiti ya binadamu au mabaki yake.
Kaburi la Akbar.

Aina ya kaburi kwenye Père Lachaise Cemetery.
Tendo lenyewe linaitwa mazishi au maziko na mara nyingi linaendana na aina ya ibada.
Linaweze kuwa na namna nyingi, kadiri ya utamaduni wa wahusika.
TanbihiEdit
Viungo vya njeEdit
Wikimedia Commons ina media kuhusu: