Makarapa ni kofia ngumu iliyokatwa kwa mikono na kupakwa rangi inayovaliwa na mashabiki wa michezo. Kama kawaida ya mashabiki wa kandanda wa Afrika Kusini, [1] na inazidi kupendwa na mashabiki wa michezo mingine.

Mashabiki wa Afrika Kusini wakiwa wamevalia makarapa na miwani mikubwa

Mashabiki wa michezo hutumia saa nyingi kuchonga na kupaka makarapa yao rangi na nembo ya klabu au nchi zao. Kando na makarapa, mashabiki pia huvaa miwani mikubwa au kuwa na ngao zenye kauli mbiu na nembo za timu. Pamoja na Kombe la Dunia la FIFA 2010, hadhi ya kimataifa na upatikanaji wa makarapa umeongezeka sana. [2]

Marejeo

hariri
  1. Barry Moody (Mei 18, 2010). "Makarapa maker eyes global success". Mail & Guardian. Iliwekwa mnamo 19 Mei 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Makarapa by the hundreds". FIFA. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Mei 3, 2010. Iliwekwa mnamo 19 Mei 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)