Makhan Singh Jabbal (27 Desemba 1913 - 18 Mei 1973) alikuwa kiongozi wa chama cha wafanyakazi wa Kenya ambaye anasifiwa kwa kuweka misingi ya muungano wa wafanyakazi nchini.[1]

Makhan Singh mjini Nairobi 1947

Marejeo

hariri
  1. "Makhan Singh, Kenyan – SikhiWiki, free Sikh encyclopedia". sikhiwiki.org. Iliwekwa mnamo 2022-08-09.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Makhan Singh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.