Makumbusho ya Wapigania uhuru wa Sahara ya Magharibi
Makumbusho ya Algeria
Makumbusho ya Wapigania uhuru wa Sahara ya Magharibi (Museum of the Sahrawi people's Liberation Army Kiarabu متحف جیش التحریر الشعبي ) ni makumbusho yanayopatikana katika kambi ya wakimbizi ya Sahrawi kusini magharibi mwa nchi ya Algeria, yakiwa ni makumbusho yanayoonyesha mchango wa wapigani uhuru wa watu wa kusini mwa Sahara[1] katika makumbusho haya kumehifadhiwa zana na silaha za kivita,magari pamoja na nguo za kivita,vimehifadhiwa kama kumbukumbu ya kihistoria.
Kwa sasa eneo hili ni sehemu ya serikali Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kiarabu ya Sahara.
Orodha ya Vitu katika makumbusho
haririMagari
hariri- Mk F3 155mm(AMX-13 F3)
- Eland Mk7(Eland-20)
- Eland Mk7(Eland-90)
- Panhard AML
- Panhard M3
- SK-105 Kürassier [2]
- Unimog[3]
- Véhicule de l'Avant Blindé(VAB)
Silaha ndogo na vilipuzi
hariri- AK-47
- FN FAL
- Heckler & Koch G3
- Heckler & Koch MP5
- M72 LAW
- Browning M1919
- TS-50 mine
- VS-50 mine[4]
Marejeo
hariri- ↑ LEFRIG, Centro de Documentación y Museo de la Resistencia del Pueblo Saharaui y la Solidaridad Internacional https://web.archive.org/web/20140529211429/http://www.lefrig.org/boletines/boletinN12.pdf |date=2014-05-29 }}
- ↑ Wall of Shame https://web.archive.org/web/20140629093333/http://www.demotix.com/news/982775/wall-shame-and-victims-war |date=2014-06-29 }}
- ↑ Wall of Shame Ilihifadhiwa 29 Juni 2014 kwenye Wayback Machine. https://web.archive.org/web/20140629093333/http://www.demotix.com/news/982775/wall-shame-and-victims-war |date=2014-06-29 }}
- ↑ Wall of Shame https://web.archive.org/web/20140629093333/http://www.demotix.com/news/982775/wall-shame-and-victims-war |date=2014-06-29 }}
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Makumbusho ya Wapigania uhuru wa Sahara ya Magharibi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |