Malick Koly ni mpiga ngoma na mtunzi wa Franco-Ivoire anayejulikana zaidi kwa kazi zake pamoja na bendi ya Wallace Roney . [1] [2]

Malick Koly akiwa bendi ya na Wallace Roney.

Orodha ya kazi za muziki hariri

  • WAF by Les Go de Koteba , released 2008 [3]
  • Ala Ta by Awa Sangho, released 2014, motema music [4]
  • Jazz Traficantes by Le Deal, released 2020[5]

Marejeo hariri

  1. POER, TONY. "St. Helena High grad Malick Koly is drumming for the world". Napa Valley Register (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-08-10. 
  2. "Steve Maxwell Drums: Episode 6 - Steve Maxwell Jr. With Malick Koly And Friends Talk About Drums Music And Everything on Apple Podcasts". Apple Podcasts (kwa en-gb). Iliwekwa mnamo 2020-08-10. 
  3. WAF: West African Feelings - Les Go De Koteba (kwa en-us), iliwekwa mnamo 2020-08-10 
  4. Ala Ta - Awa Sangho (kwa en-us), iliwekwa mnamo 2020-08-10 
  5. "Jazz Traficantes, by Le Deal". Favorite Recordings. Iliwekwa mnamo 2020-08-10. 
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Malick Koly kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.