Hongo (nyoka)
(Elekezwa kutoka Mamba (nyoka))
Hongo | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Hongo mashariki
| ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
| ||||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||||
Spishi 4:
|
Hongo au futa (kwa Kiing. mamba) ni nyoka wenye sumu wa jenasi Dendroaspis katika nusufamilia Elapinae (familia Elapidae). Spishi zote zinatokea Afrika tu.
Nyoka hawa huishi mitini, lakini futa hukaa chini. Huwinda wakati wa mchana na kukamata mamalia wadogo, ndege na mijusi. Hawa ni hatari sana kwa sababu sumu yao ni kali sana. Kuna liga za neva na za moyo ndani yake. Sumu ya futa ni kali zaidi kuliko ile ya spishi nyingine. Kwa hivyo nyoka huyu ni mgomvi zaidi. Sumu yake inaweza kuua mtu mzima ndani ya nusu saa.
Spishi
hariri- Dendroaspis angusticeps, Hongo Mashariki au Koboko Kijani (Eastern green mamba)
- Dendroaspis jamesoni, Hongo wa Jameson (Jameson's mamba)
- Dendroaspis polylepis, Koboko (Black mamba)
- Dendroaspis viridis, Hongo Magharibi (Western green mamba)
Picha
hariri-
Hongo wa Jameson
-
Koboko
-
Hongo magharibi
Marejeo
hariri- Spawls, S., Howell, K., Drewes, R. & Ashe, J. (2002) A field guide to the Reptiles of East Africa. Academic Press, San Diego, CA, USA.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hongo (nyoka) kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |