Mamlaka ya Weupe
Mamlaka ya Weupe (kwa Kiingereza: White supremacy au white supremacism) ni itikadi ambayo imejikita katika imani ya kumwezesha au kumhamasisha Mzungu kujiona juu na bora zaidi ya watu wa rangi nyingine, hivi kwamba watu weupe waweze kuwashinda watu ambao sio weupe katika nyanja zote yaani uchumi, siasa na jamii.
Tazama pia
haririViungo vya Nje
hariri- Heart of Whiteness Ilihifadhiwa 4 Juni 2012 kwenye Wayback Machine. documentary film about what it means to be white in South Africa
- Voices on Antisemitism Interview with Frank Meeink Ilihifadhiwa 20 Machi 2013 kwenye Wayback Machine. from the U.S. Holocaust Memorial Museum
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mamlaka ya Weupe kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |