Manati ni kitu cha kutupia mawe madogo, kitengenezwacho kwa mpira na kipande cha mti chenye panda. Kwa sababu hiyo huitwa pia panda na hutumika kurushia ndege mawe.

manati
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Manati kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.