Kitu
Kitu (kwa lugha ya Kiingereza "thing") ni neno linaloelezea dutu, jambo, kifaa au chombo cha aina yoyote. Linatumika hasa kuhusu chochote kinachoundwa na mata.
Kata ya wa Hadzabe
Mfano wa vitu ni:
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |