Manchester
Manchester ni mji uliopo kaskazini-magharibi mwa nchi ya Uingereza. Mji unajulikana kama "mji mkuu wa kaskazini ya Uingereza".[1]
Kwa maana nyingine, tazama Manchester (maana).
Manchester | |
Mahali pa mji wa Manchester katika Uingereza |
|
Majiranukta: 53°28′0″N 2°14′0″W / 53.46667°N 2.23333°W | |
Nchi | Ufalme wa Muungano |
---|---|
Nchi ya Ufalme | Uingereza |
Idadi ya wakazi (2007) | |
- Wakazi kwa ujumla | 458,100 |
Tovuti: www.manchester.gov.uk |
Manchester una kilabu mbili za mpira ambazo zinajulikana sana, Manchester United na Manchester City.
Marejeo
hariri- ↑ "Northern Soul Club UK Life Guide". British Council. 2003. Iliwekwa mnamo 2006-10-24.
Viungo vya nje
hariri- (Kiingereza) Manchester City Council
- (Kiingereza) Visit Manchester, the official tourist board
- (Kiingereza) The Official Manchester City Guide
- (Kiingereza) BBC Manchester
- (Kiingereza) National Statistics Profile
Makala hii kuhusu maeneo ya Uingereza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Manchester kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |