Mangambeu ni mtindo wa muziki maarufu wa watu wa Bangangte, kamerun. Ulipewa umaarufu na Pierre Diddy Tchakounte. Hivi sasa, waimbaji wengine, kama vile Kareyce Fotso, wanaendelea kuimba kwa mtindo huu.[1]

Marejeo hariri

  1. Atome (2017-07-04). "Kareyce Fotso: Ma musique est d'abord Camerounaise". Voila Moi (kwa fr-FR). Iliwekwa mnamo 2022-04-30.