Manuel Acuña Navarro (27 Agosti 1849 - 6 Desemba 1873) alikuwa mwandishi wa Mexiko wa karne ya 19.

Manuel Acuña
Manuel Acuña

Alighani mashairi, lakini pia aliandika riwaya na tamthiliya. Ingawa alikuwa maarufu katika mwanzo wa maisha yake, aliamua kujiua. Haijulikani kwa nini, lakini inadhaniwa alifanya hivyo kwa sababu ya mwanamke.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Manuel Acuña kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.