Mapango ya Wachagga

Mapango ya Wachagga ni mapango yaliyotengenezwa na mwanadamu katika karne ya 18 kwa ajili ya ulinzi wakati wa migogoro kati ya Wamasai na Wachagga, halafu yaliimarishwa na kujengwa zaidi mwanzoni mwa karne ya 19 kwa ajili ya upinzani dhidi ya uvamizi wa Wajerumani.

Mapango hayo yanapatikana katika maeneo mbalimbali ndani ya Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, nchini Tanzania.[1][2]

Marejeo

hariri
  1. "Old Chagga Caves and hides in 4 hours visit | Welcome to Machame Nkweshoo Cultural Tourism" (kwa American English). 2011-07-30. Iliwekwa mnamo 2024-10-12.
  2. Clack, Timothy (2009-06). "Sheltering experience in underground places: thinking through precolonial Chagga Caves on Mount Kilimanjaro". World Archaeology (kwa Kiingereza). 41 (2): 321–344. doi:10.1080/00438240902844434. ISSN 0043-8243. {{cite journal}}: Check date values in: |date= (help)