Mapishi ni kitendo cha kupika chakula ukipendacho kama wali, makande, pilau na vyakula vingine.

Kuna mapishi mengi katika nchi mbalimbali. Mapishi ya Kiafrika, Ulaya na Amerika. Japokuwa jamii ya Wazungu mapishi yao mengi yanafanana. Japo si yote yapo sawa hasa kwa kufuatia utofauti wa kitamaduni miongoni mwa wanadamu wengi.

Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mapishi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.