Marajó
Marajó ni kisiwa kikubwa katika Delta ya mto Amazonas nchini Brazil. Kipo kwenye msatri wa ikweta.
Eneo lake ni kati ya 40,000 hadi 49,000 km² kutegeana na kiasi cha maji mtoni na kiasi cha mafuriko. Eneo hili ni kubwa kushinda eneo la Rwanda au Burundi.
Marajo ni kisiwa kikubwa duniani katika maji matamu.