Marc Chagall (6 Julai 1887  – 28 Machi 1985) alikuwa msanii wa Kiyahudi kutoka Urusi aliyehamia Ufaransa na kupata umaarufu.

Marc Chagall

Chagall alikuwa mchoraji wa mwelekeo wa halisia-nafsi (expressionist).

Michoro yake

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marc Chagall kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.