Marcello Macchia
Marcello Macchia (anajulikana kama Maccio Capatonda; alizaliwa Vasto, Italia, 2 Agosti 1978) ni mwigizaji wa Italia. Ni maarufu kwa ajili ya ushiriki wake katika mipango ya televisheni kama vile Mai dire... juu ya chaneli Italia 1.
Marcello Macchia | |
---|---|
| |
Alizaliwa | 2 Agosti 1978 Vasto, Italia |
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marcello Macchia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |