Marco Corti (alizaliwa 2 Aprili 1986) ni mwanariadha wa baiskeli wa Italia, ambaye aliwahi kuendesha baiskeli kwa timu ya UCI Professional Continental, Colombia. Yeye ni mtoto wa mwanariadha wa zamani wa baiskeli Claudio Corti.[1]

Marejeo

hariri
  1. Father and son reunion
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marco Corti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.