'

Marcus Garvey
Marcus Garvey
Amezaliwa1887
Amefariki1940
Kazi yakemwanaharakati wa haki za Watu Weusi nchini Marekani


Marcus Garvey (1887-1940) alikuwa mwanaharakati wa haki za Watu Weusi nchini Marekani[1].

Alikuwa mmoja kati ya watu waliosaidia kuunda umoja wa Waafrika ambao unajulikana kama Pan Africanism[2].

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marcus Garvey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.