Mari Kiviniemi (amezaliwa 27 Septemba 1968) ni mwanasiasa wa Ufini, na ni Waziri Mkuu wa Ufini tangu 22 Juni 2010. 12 Juni 2010 alichaguliwa kwa kiongozi wa Suomen Keskusta (Chama cha Moyo cha Ufini).

Mari Kiviniemi

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mari Kiviniemi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.