Maria Ndilla Kangoye
Maria Ndilla Kangoye (amezaliwa tarehe 21 Oktoba 1985) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalumu kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
hariri- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |