Maria Thorisdottir

Mchezaji wa kandanda wa chama cha Norwe

Maria Thorisdottir (alizaliwa 5 Juni 1993)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Norwei, ambaye anacheza kama beki katika klabu ya Brighton & Hove Albion, inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uingereza (WSL) na timu ya taifa ya Norwei.[2]

Thorisdottir akichezea Manchester United mnamo 2023

Marejeo

hariri
  1. "European Handball Federation - Maria Thorisdottir / Player". history.eurohandball.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-09-16.
  2. Anton Ingi Leifsson (2019-09-06). "„70% af jörðinni er þakið vatni, restin er María Þórisdóttir" - Vísir". visir.is (kwa Kiisilandi). Iliwekwa mnamo 2024-09-16.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maria Thorisdottir kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.