Marianne Craig Moore (15 Novemba 18875 Februari 1972) alikuwa mshairi, mhakiki na mhariri kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1952 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Marianne Moore, 1948

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marianne Moore kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.