Mariestad ni mji na manispaa nchini Uswidi. Kuna wakazi 25,000 (mwaka 2005). Iko kando ya Ziwa Vänern.

Mariestad

Jiografia hariri

Eneo lake ni 10.96 km².

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mariestad kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.