Marilyn Barrueta
Marilyn Barrueta alichaguliwa kuingia katika Ukumbi wa Umaarufu wa Walimu wa Kitaifa mwaka 2005 baada ya miaka 48 ya kufundisha. Tangu mwaka 1978, "Señora Barrueta" amekuwa akifundisha masomo ya Kihispania 1-6, somo la Kihispania kwa ngazi za juu (Advanced Placement Spanish), na Kihispania kwa Wasemaji Wenye Ufasaha (Spanish for Fluent Speakers) katika Shule ya Upili ya Yorktown huko Arlington, Virginia, Marekani.[1]
Marejeo
hariri- ↑ National Teachers Hall of Fame Archived Novemba 12, 2006, at the Wayback Machine
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marilyn Barrueta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |