Kihispania duniani leo.

Kihispania ("EspaƱol", ing. Spanish) ni lugha ya kimataifa ambayo ni lugha ya kwanza kwa watu milioni 500; kwa jumla pamoja na wasemaji wa Kihispania kama lugha ya pili kuna milioni 600 duniani wanaosema Kihispania.

Historia ya lughaEdit

Asili ya lugha hiyo ni katika nchi ya Hispania (Ulaya kusini magharibi), lakini kutokana na historia ya ukoloni na ya biashara lugha imesambaa sana, hasa Amerika ya Kusini.

Lugha iliyozaa Kihispania ni Kilatini cha Waroma wa Kale waliotawala kwa muda mrefu Hispania.

Kati ya lugha za Kirumi Kihispania ni lugha ya kisasa ambayo ni karibu zaidi na lugha ya kale, isipokuwa Kiitalia.

Nchi zinazotumia Kihispania kama lugha rasmiEdit

Amerika ya Kati na KaribiEdit

Amerika ya KusiniEdit

AfrikaEdit

Nchi zenye wasemaji wengi wa KihispaniaEdit

  • Nchini Marekani Kihispania ni lugha ya pili baada ya Kiingereza hasa katika majimbo ya Kusini zilizokuwa zamani sehemu za Mexiko.
  • Ufilipino kwa sababu ilikuwa koloni la Hispania

Viungo vya njeEdit