Mark James Mwandosya (amezaliwa 28 Desemba 1949) aliwahi kuwa mbunge wa jimbo la Rungwe Mashariki katika bunge la kitaifa nchini Tanzania kuanzia Novemba 2000 hadi Julai mwaka 2015.[1] Alitokea katika chama cha CCM.

Mark Mwandosya.

Alikuwa waziri wa usafiri 2000-2005[2] halafu waziri wa maji 2008 hadi 2012[3], akaendelea kuwa waziri hadi 2015.

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. "Mengi kuhusu Mark James Mwandosya". 1 Septemba 2008. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
  2. Hassan Muhiddin, "JK’s beefed up team" Ilihifadhiwa 3 Januari 2007 kwenye Wayback Machine., Guardian (IPP Media), January 5, 2006.
  3. Austin Beyadi, "Public welcomes new cabinet", Guardian (IPP Media), February 13, 2008.