Mark Robert Michael Wahlberg (amezaliwa tar. 5 Juni mwaka 1971 huko mjini Dorchester, Boston, Massachutts) ni mwigizaji wa filamu na mtayarishaji wa vipindi vya televisheni kutoka nchini Marekani.

Mark Robert Michael Wahlberg
Muigizaji Mark Wahlberg mnamo Februari 2012
Muigizaji Mark Wahlberg mnamo Februari 2012
Jina Kamili {{{jina kamili}}}
Jina la kisanii Mark Wahlberg, Marky Mark
Nchi Marekani
Alizaliwa 5 Juni 1971,Dorchester, Boston, Massachutts,Marekani
Kazi yake Mwigizaji wa filamu na Mtayarishaji wa Vipindi vya Televisheni

Alikuwa akifahamika kama Marky Mark katika siku zake za awali, na pia alipata umaarufu sana akiwa kama mwanamuziki wa rap katika bendi yake iitwayo Marky Mark and the Funk Bunch.

Filamu Alizoigiza

hariri
Jina la Filamu Mwaka Jina Alilotumia Nakala
Renaissance Man 1994 Pvt. Tommy Lee Haywood
The Basketball Diaries 1995 Mickey
Fear 1996 David McCall
Traveller 1997 Pat O'Hara
Boogie Nights 1997 Eddie Adams/Dirk Diggler
The Big Hit 1998 Melvin Smiley
The Corruptor 1999 Danny Wallace
Three Kings 1999 SFC Troy Barlow
The Yards 2000 Leo Handler
The Perfect Storm 2000 Bobby Shatford
Planet of the Apes 2001 Capt. Leo Davidson
Rock Star 2001 Chris 'Izzy' Cole
The Truth About Charlie 2002 Joshua Peters
The Italian Job 2003 Charlie Croker
I ♥ Huckabees 2004 Tommy Corn
Four Brothers 2005 Bobby Mercer
Invincible 2006 Vince Papale
The Departed 2006 Sgt. Sean Dignam
Shooter 2007 Bob Lee Swagger
We Own the Night 2007 Joseph Grusinsky
The Happening]] Ijayo - 2008 Elliot Moore
The Brazilian Job Ijayo - 2009 Charlie Croker
The Fighter Ijayo - 2009 Mickey Ward
Ted 2012 John Bennett

Viungo vya Nje

hariri
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
 
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mark Wahlberg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.