Marksons Plaza
Marksons Plaza ni jumba linalopatikana katika enbeo la Westlands mjini Nairobi katika mtaa wa Parlands. Kuna ofisi kadhaa za kampuni na za binafsi kwa mfano: Spin knit Kenya Ltd na Corn products Kenya Limited.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Marksons Plaza kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |