Martín Alberto Vizcarra Cornejo (amezaliwa 22 Machi 1963) ni mhandisi na mwanasiasa wa Peru ambaye ni Rais wa sasa wa Peru.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Martín Vizcarra kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.