22 Machi
tarehe
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 22 Machi ni siku ya 81 ya mwaka (ya 82 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 284.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1212 - Go-Horikawa, mfalme mkuu wa Japani (1221-1232)
- 1459 - Kaisari Maximilian I wa Ujerumani
- 1797 - Kaisari Wilhelm I, mfalme wa Prussia na Kaisari wa Ujerumani
- 1824 - Bedřich Smetana, mtunzi wa muziki kutoka Ucheki
- 1868 - Robert Millikan, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1923
- 1929 - P. Ramlee, mwigizaji wa Malaysia
- 1931 - Burton Richter, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1976
Waliofariki
hariri- 752 - Mtakatifu Papa Zakaria
- 1282 - Mtakatifu Benvenuto Scotivoli, askofu kutoka Italia
- 1685 - Go-Sai, mfalme mkuu wa Japani (1654-1663)
- 1832 - Johann Wolfgang von Goethe, mwandishi, mwanafalsafa na mwanasiasa kutoka Ujerumani
- 2010 - James Black, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1988
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Epafrodito, Paulo wa Narbonne, Kaliniko na Basilisa, Basili wa Ankara, Lea wa Roma, Benvenuto Scotivoli, Nikola Owen n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day Archived 3 Machi 2007 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 22 Machi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |