Marthe Solange Achy Brou

Mwanasiasa wa Ivory Cost

Marthe Solange Achy Brou ni mwanasiasa wa Ivory Coast.

Alikuwa Waziri wa masuala ya kijamii na mshikamano mwaka wa 2000 katika serikali ya Seydou Diarra, makamu wa rais wa Bunge la Kitaifa la Ivory Coast. Alikuwa mjumbe wa Bunge kutokea mwaka 1976 hadi 1980 na kutokea 1986 hadi 1990, na pia meya wa jimbo la Grand-Bassam kutokea 1985 hadi 1990.[1]

Marejeo

hariri
  1. peoplepill.com. "Marthe Solange Achy Brou: Ivorian politician (1949 - 2011) | Biography, Facts, Information, Career, Wiki, Life". peoplepill.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-13.
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marthe Solange Achy Brou kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.