Marx Beltrão
Marx Beltrão Lima Siqueira (alizaliwa mwaka 1979 huko Maceió) ni mwanasheria na mwanasiasa wa Brazil aliye na uhusiano na Chama cha Kidemokrasia cha Brazil (MDB). Marx alikua meya wa zamani wa jiji la Coruripe na waziri wa Utalii. Kwa sasa ni naibu wa shirikisho kutoka jimbo la Alagoas aliyeteuliwa na rais Michel Temer.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Marx Beltrão toma posse como ministro do Turismo" (kwa Kireno). Palácio do Planalto. 5 Oktoba 2016. Iliwekwa mnamo 24 Machi 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marx Beltrão kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |