Mary Benson
Mwanaharakati na mwandishi wa Afrika Kusini
Dorothy Mary Benson (9 Desemba 1919 - 19 Juni 2000) alikuwa mwandishi na mwanaharakati wa Afrika Kusini. Kwa vile aliupigia vita ubaguzi wa rangi, alilazimishwa na serikali kuhama nchi yake na kukaa Uingereza. Anajulikana hasa kwa kuandika wasifu ya Nelson Mandela (1990), historia ya ANC (1962) na riwaya moja, kichwa chake At the Still Point (1969).
Angalia pia
haririMarejeo
hariri- Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mary Benson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |