Mary Nicholas Arnoldy

Mary Nicholas Arnoldy (18931985) alikuwa sista wa shirika la Mt. Yosefu wa Concordia (Kansas) na mchambuzi wa hisabati.

Mary Nicholas Arnoldy

Pamoja na M.[1] Henrietta Reilly na Mary Domitilla Thuener, alikuwa mmoja wa wanawake wachache na masista wa Kikatoliki waliopata shahada ya uzamivu (PhD) katika hisabati kabla ya mwaka 1940.[2]

Marejeo

hariri
  1. "493 are Awarded Degrees at C. U.: Archbishop Curley Confers Honors at Annual Exercises", The Evening Star (Washington, DC), 14 June 1933. 
  2. Green, Judy; LaDuke, Jeanne, whr. (2009). Pioneering Women in American Mathematics: The Pre-1940 PhD's. Washington, DC: American Mathematical Society. uk. 127. ISBN 9780821843765.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.