Sista (kutoka Kiingereza sister, yaani dada) ni neno la mkopo linalotumika katika lugha ya Kiswahili hasa kumaanisha mtawa wa kike, yaani mwanamke aliyewekwa wakfu alipoahidi kushika mashauri ya Kiinjili ya useja mtakatifu, ufukara na utiifu.

Masista katika maandamano wakivaa kanzu.