Mary Odilia Berger
Mary Odilia Berger, S.S.M. (30 Aprili 1823 – 17 Oktoba 1880) alikuwa sista Mkatoliki aliyezaliwa Ujerumani na alianzisha Shirika la Masista wa Mt. Maria mwaka 1872 huko St. Louis, Missouri.
Shirika hili lilianzisha na bado linaendesha hospitali kote katika maeneo ya Kati ya Marekani. Mnamo mwaka 1987, walijiunga na Sisters of St. Francis of Maryville, shirika jingine lililotoka kwao, na pamoja wamekuwa Masista Wafransisko wa Maria.[1]
Marejeo
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |