Mary Oliver

Mary Oliver (10 Septemba 193517 Januari 2019) alikuwa mshairi wa kike kutoka nchi ya Marekani.

Mwaka wa 1984 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mary Oliver kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.