Mary Pius Chatanda

Mary Pius Chatanda (amezaliwa tarehe 5 Septemba 1959) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Korogwe Mjini kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017