Maryna Aleksiiva
Muogeleaji aliyesawazishwa wa Kiukreni (2001-)
Maryna Antonivna Aleksiiva (alizaliwa Mei 29, 2001) ni muogeleaji kutoka Ukraine. Ni mshindi wa medali ya ubingwa wa dunia[1][2][3]. Maryna ni pacha wa Vladyslava Aleksiiva ambaye pia ni muogeleaji.
Katika mashindano ya dunia ya Aquatics ya mwaka 2017 alishinda medali ya shaba, ambayo yalikua mafanikio yake ya kwanza makubwa ya Kimataifa[4]. Siku iliyofuata alishinda medali ya fedha katika mashindano hayo[5].
Katika Mashindano ya Dunia ya Aquatics mnamo Julai 2019 yeye na kundi lake akiwa na Vladislava Alekseeva, Yana Narizhna, Kateryna Reznik, Anastasia Savchuk, Marta Fedina, Alina Shinkarenko na Elizaveta Yakhno walishinda tuzo za shaba.
Marejeo
hariri- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-12-06. Iliwekwa mnamo 2021-12-06.
- ↑ http://www.omegatiming.com/File/Download?id=0001110300FFFFFFFFFFFFFFFFFFFF03
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-17. Iliwekwa mnamo 2021-12-06.
- ↑ http://www.unn.com.ua/uk/news/1677738-ukrainski-synkhronistky-zdobuly-piatu-bronzu-na-chs-v-uhorshchyni
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-09-12. Iliwekwa mnamo 2021-12-06.