29 Mei
tarehe
(Elekezwa kutoka Mei 29)
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 29 Mei ni siku ya 149 ya mwaka (ya 150 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 216.
Matukio
hariri- 1453 - Mji wa Konstantinopoli (Bizanti) unatekwa na jeshi la Waturuki Waosmani chini ya Sultani Mehmet II. Mwisho wa Dola la Roma Mashariki
- 1724 - Uchaguzi wa Papa Benedikto XIII
- 1953 - Tenzing Norgay na Edmund Hillary ni watu wa kwanza kufikia kilele cha Mount Everest, mlima mrefu kabisa duniani
Waliozaliwa
hariri- 1439 - Papa Pius III
- 1917 - John F. Kennedy, Rais wa Marekani
- 1935 - André Brink, mwandishi kutoka Afrika Kusini
- 1950 - Frederick Sumaye, Waziri Mkuu wa 9 wa Tanzania
- 1976 - Francis Kimanzi, mchezaji mpira kutoka Kenya
Waliofariki
hariri- 1910 - Mily Balakirev, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 1958 - Juan Ramon Jimenez, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1956
- 1973 - P. Ramlee, mwigizaji wa Malaysia
- 1998 - Barry Goldwater, mwanasiasa kutoka Marekani
- 2010 - Dennis Hopper, msanii wa Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Paulo VI, Esikyo wa Antiokia, Masimino wa Trier, Sisini na wenzake, Esuperansi wa Ravenna, Senatori wa Milano, Jeradi wa Macon, Bona wa Pisa, Ursula Ledochowska n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 29 Mei kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |