Mashonaland Mashariki

Mashonaland Mashariki ni mkoa wa Zimbabwe upande wa mashariki wa Harare.

Una eneo la kilometa mraba 32,230 na wakazi 1,731,000 (2022)[1].

Makao makuu yako Marondera.

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mashonaland Mashariki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.