Ufalme wa Walashma ulikuwa ni ukoo wa kifalme wa Kiislamu katika Pembe ya Afrika ulioanzishwa katika eneo la Ifat (ambalo leo hii linapatikana mashariki mwa Shewa).[1] Ulianzishwa katika karne ya 13, ulitawala fa na Adal katika yale ambayo sasa ni maeneo ya Somaliland, Somalia, Djibouti, Eritrea na mashariki mwa Ethiopia.[2]


Tanbihi

hariri
  1. Ifat. Britannica.
  2. Jyee, Dr. Ravi (2016). WORLD ENCYCLOPAEDIA OF AFRICAN COUNTRIES. New Delhi, India: AFRO-ASIAN-AMERICAN CHAMBER OF COMMERCE, OCCUPATIONAL RESEARCH AND DEVELOPMENT (ACCORD). uk. 360. Ulianzishwa mwaka 1285 na ukoo wa Walashma, ulikuwa na makao yake makuu Zeila. Ifat iliweka vituo katika Djibouti na Somalia, na kutoka hapo iliongeza eneo lake kuelekea kusini hadi Milima ya Ahmar.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mati Layla Abud kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.